Hivi Karibuni Msanii, Izzo Bizness ametutangazia kundi jipya la ‘The Amazing’, ambapo kundi hilo linaundwa na yeye mwenyewe Izzo Bizness pamoja na Abela Music.

‘The Amazing’ limeachia ngoma yake mpya, Dangerous Boy. Video yake ikiongozwa na Nick Dizzo.

Itazame hapa video mpya ya Izzo Bizness na Abela Music(The Amazing) – Dangerous Boy

Serikali yazifungua minyororo ofisi za Mkono
Rais Magufuli Ateuwa Wakurugenzi