Watu wenye mahitaji maalumu wanahitaji uangalizi kutoka kwetu, ndio maana kaampuni ya DataVision International tumekuja kutembelea kituo cha Salt CCT na kuwafanya wasijione wako peke yao, jamii isiwatenge watu hawa ni binadamu.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa miradi wa DataVison International, Macmillan George, wakati akikabidhi baadhi ya mahitaji waliyofikanayo katka kituo hicho.

Bofya hapa kutazama zaidi..

Onyango aipongeza Young Africans
Avram Grant kurudi Chelsea?

Comments

comments