Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amefungua rasm shindano la Miss Ilala 2016 yaliyofanyika Hoteli ya Kilimanjaro Kenpisk Dar es salaam ambapo amewapongeza washiriki wa shindano hilo na kuwataka kuwa mabalozi katika shughuli za kijamii na kuunga mkono juhudi za Serikali za kufanya kazi na kuweka mazingira kuwa safi  katika vitongoji vyote. Warembo walioshindana kuwania taji la Miss Ilala 2016 ni Osmunda Mbeyela, Mercy Zephania, Melody Tryphone, Dalena David, Nuru Kondo, Julitha Kabete, Sporah Luhende, Queen Nazil, Lilian Omolo, Mariam Maabad, Brenda Allan, Sabrina Halifa, Agriphina Nathaniel na Grace Malikita. Tazama hapa Video

Video: Julitha Kabete atangazwa kuwa mshindi Miss Ilala 2016
Rusia na Marekani Kumaliza Vita Nchini Syria