Vijana wengi wanaokosa kazi za kuajiriwa hapa mjini hulazimika kujiajiri na baadhi yao hulazimika kuingia katika kazi za kusafirisha abiria kwa kuendesha bodaboda, Dar24 Media imeandaa makala inayoangazia maisha kiujumla yanayomgusa dereva bodaboda, kwa kuangazia changamoto, mafanikio, mikataba, waajiri na kadhalika.
Ambapo bodaboda wamefunguka juu ya mafanikio waliyoyapata kupitia biashara hiyo ikiwa ni pamoja na uwezo wa kuendesha familia, kununua kiwanja na moja ya dereva amesema kufuatia biashara hiyo ameweza kumiliki bodaboda nyingine 10.
Aidha changamoto kubwa ilitojwa ni ujambazi, ajali, kukabwa na matukio mengine ambayo ni hatarishi.
Sikiliza hapa.