kwakuwa sheria ya Afya na usalama mahali pa kazi namba 5 ya mwaka 2003, inasisitiza wajibu wa mwajiri na mfanyakazi kuhakikisha kuwa eneo la kazi ni salama kwa kuweka mifumo salama inayozuia ajali na magonjwa yanayotokana na kazi.

Kampuni ya ID Cards solutions kwa kulitambua hilo imerahisisha upatikanaji wa vifaa vya kumkinga mfanyakazi kwa njia rahisi,…Bofya hapa kutazama.

Video: Ni wajibu wa Mwajiri na mwajiriwa kulinda usalama - OSHA
Rais Museveni afuata nyayo za Kenyatta

Comments

comments