Nyoka ni viumbe hatari zaidi duniani kutokana na sumu yao kali yenye uwezo wa kumuua binadamu ndani ya dakika chache.

Black mamba ni moja ya nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu Mashariki na Kusini mwa Afrika.

Black mamba anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.

Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Black Mamba kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Black Mamba na binadamu yameongezeka zaidi.

Iwapo nyoka hawa wata kung’ata utaweza kuishi kati dakika 20.

Fahamu hapa mbali na Black mamba aina nyingine ya nyoka wenye sumu kali zaidi.

Aliyeiba kichanga wa siku moja akamatwa, alitumia mbinu hii...
Aliyemuua mkewe kwa kumnyima unyumba afia gerezani

Comments

comments