Familia ya Lissu yamjibu IGP Sirro, yamlima maswali matano, yahofia maisha ya dereva wa mbunge huyo, Kiama raia wa kigeni, ni wale wanaoishi nchini ‘kisanii’, uhamiaji yawataka wajisalimishe, Hatma ya Manji kubwia unga leo, Mkemia Mkuu akabidhiwa miili wafu wa gongo…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 6, 2017. Tazama video

Lowassa awafungukia waliokatwa CCM, ‘jina langu linatajwa’
Rafael Nadal atinga hatua ya robo fainali China Open