Mchezaji wa kimataifa wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic amejiunga rasmi na klabu ya Manchester United ya Uingereza huku akitamba kuandika kumbukumbu mpya katika historia ya ligi ya England….

Ibrahimovic alikuwa akiichezea PSG ya Ufaransa na sasa amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Kocha wake Jose Mourihno amesema hahitaji kueleza kwanini ameamua kumsajili mchezaji huyo kwasababu takwimu zinajieleza.

Hii hapa Interview yake na Utambulisho kwa Mun U

Magoli aliyoyafunga Mchezaji Ibrahimovic wakati akiichezea PSG 

Kipindupindu Kupungua Nchini, Morogoro Bado Changamoto
Video: Magoli 50 yaliyogungwa kiufundi zaidi Duniani