Giza nene uchaguzi Kenya, Raila awataka wafuasi wasiende kupiga kura, Kenyatta awasihi Wakeenya kujitokeza, awahakikishia ulinzi, Polisi kikaangoni, ni wale FFU waliotembeza kipigo kwa raia mitaani, Marufuku kuwaambia wanafunzi wamependeza – Salma Kikwete…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 26, 2017. Tazama video

Bomoa bomoa yabisha hodi Arusha
Odinga: Huo sio uchaguzi, ni maonyesho ya Jubilee