Kampuni ya GSM imezindua kampeni ya promosheni mpya kipindi hiki cha sikukuu ili kuweza kuwapa nafuu ya manunuzi wateja wake.

Hayo yamesemwa hii leo na mkurugenzi wa kampuni hiyo, Fahad Hamad alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amesema kuwa wateja wao watafaidika na promosheni hiyo.

“Katika promosheni hii wateja wetu watafaidika na punguzo la bei kwa bidhaa zetu mbaalimbali, na hii huwa tunafanya kila mwaka,”amesema Hamad

DC Bagamoyo awawashia moto waamuzi wa soka wa wilaya
Wolper akiri kupenda dogodogo