Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni, kila eneo lina mila na desturi ambazo zinaaminika na kufuatwa na watu wa jamii hiyo, basi leo kwenye kipindi cha zaidi nimekuandalia tamaduni za mazishi za kustaajabisha zaidi ambazo hufanywa kwenye nchi mbalimbali.

Tazama na ustaajabu mila hizi hapa chini.

Mtoto wa R. Kelly afukuzwa chuo
Video: Vigogo 7 watumbuliwa wengine matumbo moto, Ukatili wa ngono kwa watoto watikisa

Comments

comments