Kuelekea mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara baina ya Mabingwa wa nchi Simba SC na wenyeji Kagera Sugar FC kocha mkuu wa mabingwa hao Patrick Ausems, amedhibitisha kukosekana kwa nyota wake muhimu ambao amesema kuwa wanasumbuliwa na majeraha.

Ausems amesema kuwa watakaokosa mchezo wao na Kagera Sugar ni Erasto Nyoni,Cretus C.Chama, Gadiel Michael, Jonas Mkude pamoja na nahodha wa mabingwa hao John Boco ambao hawakujumuishwa katika msafara ulioifuata Kagera sugar…, Bofya hapa kutazama

Wanao panga njama za kuipindua Serikali wakamatwa na milipuko
Video: Makonda 'Nahujumiwa', Siku 550 za moto wa IGP Sirro