Dar24 Media imefanya mahojiano na  kiongozi wa timu ya Friends Rangers ya Magomeni Kagera jijini Dar es salaam inayoshiliki ligi daraja la kwanza, Herry Mzozo .

Alifafanua juu ya maswali kadhaa, Kwanini Friends Rangers tangu kuanzishwa kwake miaka ya 90 hadi leo hajawahi kupanda na kucheza ligi kuu.

Kwanini timu hiyo imekua ikihusishwa na suala la utovu wa nidhamu.

Athari gani inawakumba kutokana na kitendo cha timu kubwa kuwachukulia wachezaji wao mara kwa mara.

Ni wachezaji wangapi wenye majina makubwa walioanzia kwenye timu hiyo.

Mkakati wa katiba yao umefikia wapi na vipi kuhusu maandalizi ya mchezo wao wa Desemba 22 dhidi ya Talinega kwenye michuano ya kombe la shirikisho…, Bofya hapa kutazama

Ibrahim Akilimali aaga dunia, kuzikwa kesho Tandale kwa Mtogole
Makamba, Kinana, Membe kikaangoni, Kizungumkuti usajili laini za simu

Comments

comments