Msemaji wa Idara ya Uhamiaji jijini Dar es salaam, Ally Mtanda ameeleza kinagaubaga juu ya taratibu na vigezo muhimu ambavyo mtanzania anatakiwa kuwa navyo ili aweze kupata hati ya kusafiria sambamba na kubadilisha hati ya zamani kuwa ya kielektroniki.
Hata hivyo kwa mujibu wa sheria hati ya kusafiria ni haki ya kila mtanzania aliyekidhi vigezo kwa mujibu wa sheria.
Hivyo Dar24 ilifanya mahojiano hayo na msemaji huyo kwa lengo la kuufahamisha umma vigezo na taratibu hizo zitazofanikisha mwananchi kupata hati ya kusafiria maarufu kama ”Passport”.
Aidha utapata kufahamu habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Julai 11, 2018.
Bonyeza link hapa chini kusikiliza vigezo na taratibu hizo.