Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa hospitali za serikali zitakuwa bora zaidi kuliko zile za binafsi hivyo ameahidi kukarabati hospitali zote za mkoa wa Dar es salaam.

Ameyasema hayo hii leo katika ziara ya ukaguzi wa wodi ya Mama na Mtoto iliyopo jijini Dar es salaam, amesema muda umefika wa kuweza kuboresha hospitali za serikali ili ziweze kutoa huduma bora zaidi.

Magazeti ya Tanzania leo Agosti 30, 2017
Mdee alia na polisi, asema kuna matapeli wanamsumbua