Mpiga picha aliyegeuka kuwa ‘Supa Staa’ aliyeng’ara kwenye shindano la Big Brother Africa, Idris Sultan amefunguka mengi kwenye kipindi cha The Playlist cha 100.5 Times Fm.

Idris ambaye huwaacha watu na furaha za vicheko hakuiacha nukta wala koma kwenye maswali  aliyoulizwa na mtangazaji wa show hiyo Omary Tambwe aka Lil Ommy.

Amejibu maswali mengi ambayo yalikuwa yakiulizwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yeye na ziada.

Angalia mahojiano hayo hapa:

 

 

Dk. Slaa Amrudia Tena Gwajima
Gwajima: Sijawahi Kumsapoti Lowassa (Video)