IGP Sirro amtangazia kiama Mange Kimambi, Kibano madini, mafuta chapaisha mapato TRA, Utata waibuka kukutwa paja, fuvu la binadamu, Siri ya Prof. Kitilia kubwaga manyanga ACT-Wazalendo…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 11, 2017. Tazama video

Kenyatta amjibu Raila baada ya kujiondoa mbio za urais
Walimu wafeli mtihani wa wanafunzi darasa la kwanza, watimuliwa