Mara baada ya msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama kuachiliwa na jeshi la polisi lililokuwa linamshikilia kwa tuhuma ya kudharau mali ya umma ambayo ni fedha ya Taifa kwa kurusha video mtandaoni akiwa na Soud Brown na watu wengine wakicheza wimbo wa Iokote huku wakikanyaga fedha hizo.

Maua Sama katika wimbo wake aliyomshirikisha Hanstone siku mbili zilizopita ameachia ngoma hiyo ambayo tayari inafanya vizuri katika mtandao wa YouTube na kushika nafasi ya nne kutazamwa mara nyingi zaidi hapa nchini.

Iokote ni moja ya nyimbo nzuri na kali kufanywa na kukubadilika na watu wote, hivyo bonyeza hapa chini kutazama nyimbo hiyo.

Aidha Msanii Vanessa Mdee naye safari hii amekuja kivingine kabisa mara baada ya kuachia ngoma yake mpya aliyoimba kwa lugha ya kigeni ya kihindi.

Tayari ameachia ngoma hiyo inayoenda kwa jina la Vaishnav Jan To For Gandhi Jayanati.

Tazama hapa chini.

Walimu kupewa kompyuta
Buffon atangaza njaa ya miaka 10 ijayo