Msanii wa muziki wa Bongo fleva, Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Unaibiwa’.

Wimbo huo umetengenezwa na mtayarishaji wa muziki Lizerclassic kutoka katika leo ya WCB, video ya wimbo huo imefanyika jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini na Dar es salaam Tanzania chini ya muongozaji wa video Nic Roux.

Itazame video ya wimbo huo wa Rayvanny ‘Unaibiwa hapa chini;

Madam Rita kuirejesha ‘Bongo Star Search’ kwa kishindo
Msigwa ‘ambipu’ Spika Ndugai kuhusu Lissu