Rapa kutoka nchini Marekani Belcalis Almánzar anajulikana kama Cardi B ambae amekuwa na bifu la mda mrefu na rapa mwenzake Nick Minaj mahasimu hawa wamekuwa wakichapana vijembe kwenye mistari ya nyimbo zao huku kila mmoja akiwa bora kuliko mwenzake.

Cadi ambae kwasasa anafanya vizuri kwenye ulimwengu wa muziki wa HipHop na amesha shinda tunzo kama Grammy award for Best rap albamu, BET award for viewer choise na nyingine nyingi ambazo zimemuweka katika ramani nzuri ya muziki duniani.

Moja kati ya Interview kutoka Hooly wood life ambapo Rapa Cardi aliuliza kama kuna uwezekano wa kupatana na Nicki Minaji na kuja kutumbuiza pamoja, moja kati ya kazi walizowahi kufanya mahasimu hawa ni Motorspot iliyotoka mwaka 2017 October 27 ambayo walishilikishwa na Migos.

Maambukizi ya Ukimwi yapungua nchini
Serikali kuleta mabehewa na vichwa vya treni ya umeme 1,400

Comments

comments