Video: Jinsi Bale alivyosherekea ushindi na mashabiki Madrid
7 years agoComments Off on Video: Jinsi Bale alivyosherekea ushindi na mashabiki Madrid
Klabu ya Real Madrid imetwaa kikombe cha Ligi ya Mabingwa barani Ulaya mara baada ya kuilaza Liverpool kwa goli 3-1 katika fainali iliyofanyika jijini Kiev nchini Ukrine.