Jinsi mauaji ya kutisha ya Polisi 8 yalivyofanyika, Polisi yavaa sura mpya, yaahidi kuua angalau majambazi watao kwa wiki moja, Baba wa Ben Saanane asema wamegonga mwamba, RC asema kuna watu 315 wahusika mada za kulevya…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 15, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

>>>Alichosema Mwigulu Nchemba baada ya kufika eneo walilouawa Askari 8

Makani avitaka vyombo vya habari kutangaza utalii wa nchi
Magazeti ya Tanzania leo Aprili 15, 2017

Comments

comments