JK atikisa Bunge, wabunge wamshangilia, sauti za tumekumis zatawala, Wagombea Chadema wazua mvutano mkali Bungeni, Facebook ilivyohusika mkasa wa binti aliyejitosa baharini…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Live: Maswali na Majibu Bungeni Dodoma
Treni ya kisasa yazinduliwa, kuanza safari zake Afrika Mashariki