Video: JPM apiga tena, Majaliwa apoza sakata la mchanga wa madini
8 years agoComments Off on Video: JPM apiga tena, Majaliwa apoza sakata la mchanga wa madini
JPM apiga tena, Majaliwa apoza sakata la mchanga wa madini, Ndesamburo alijitabiria kifo, Mtei aelezea mshtuko mwasisi mwenza kutangulia, Mazito yaibuka kesi ya Malikia meno ya tembo…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 2, 2017.