Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate yenye urefu wa km 135 katika sehemu ya Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika Butiama mkoani Mara.

Aidha, rais Dkt. Magufuli yuko ziara ya kikazi mkoani Mara akikagua miradi na kuzungumza na wananchi mbalimbali ambao wamekuwa wakijitokeza kutoa kero zao.

 

Joe Budden amrukia tena Eminem, ‘ntakupa kipigo’
Adam Lallana nje majuma manne