JPM, Kenyatta wazika vikwazo vya kibiashara, Baada ya kuapishwa Ikulu: Mawaziri watema cheche, Kigwangallah asema majangili waanze kukimbia, Mkuchika asema marufuku watumishi kuzurura, Wakili wa Lema ajitoa, Takwimu waeleza jinsi sarafu ya Tanzania ilivyoshuka…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 10, 2017. Tazama video

Peter Crouch aingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia
Video: Mfumuko wa bei wazidi kupanda