Mashindano ya kumsaka Miss wa Ilala 2016 tayari yamefanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro, Kenpisk jijini Dar es salaam ambapo kati ya Warembo 14 walioshindana kuwania taji hilo mshiriki namba 13, Julitha Kabete ndiye aliyeibuka mshindi na kuvalishwa taji la Miss Ilala 2016. Tazama Hapa Video

Show: Ruby alivyopendezesha shindano Miss Ilala 2016
Video: DC Mjema akifungua shindano la MIss Ilala 2016