Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni mapema leo, Bahati Mbunge wa Mahonda amehoji kuwapo kwa madhara yoyote yanayoweza kutokea kutokana na matumizi ya simu zisizokidhi viwango vya matumizi kwa wananchi wanaoendelea kutumia simu hizo kwa matumizi mengine, na je, kama kuna madhara Serikali haioni nkuwa ni wakati muafaka wa kutoa elimu kwa umma? Haya hapa majibu kutoka kwa Serikali yakiyotolewa na Waziri Prof. Makame Mnyaa Mbarawa

Henrikh Mkhitaryan: Sina Uhakika Kama Nitakua Fit
Martin O'Neill Aikana Hull City