Kamishna wa polisi kanda maalum ya  Dar es salaam, Simon Sirro jana Septemba 5, 2016 ametoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi watatu ambao wamepatikana na silaha 23, risasi 835,  bullet proof 03, sare za polisi, Pingu 48 radi0 call 12. Ikiwa ni takribani wiki moja na nusu zimepita tangu askari wanne na ofisa mmoja wa polisi kufariki kwa kushambuliwa na majambazi kwenye matukio mawili ya kukabiliana na majambazi eneo la Vikindu Mkuranga mkoani Pwani na tukio jingine la ujambazi lililofanyika Mbande Dar es salaam, Kufuatia operesheni ya kuwasaka majambazi hao amezionyesha silaha za kivita zilizokamatwa na jeshi hilo kutoka mikononi mwa majambazi. Tazama hapa Video

Mark Clattenburg Kusimamia Sheria 17 Old Trafford
Lionel Messi Yu Mashakani, Kuwakosa Alaves, Celtic