Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Kangi Lugola ameelezea jinsi walivyokuwa wakiishi na mke wake Mary Lugola.

Amesema kuwa mke wake alikuwa ni mlinzi wa ndoa yake pia walikuwa wakijiandaa kwa zawadi mbalimbali za mwaka mpya lakini mungu huwa anazawadi zake anazozipanga.

Ameyasema hayo wakati wa ibaada ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika jijini Dar es salaam, ambapo amewashukuru wote walioshiriki na kujitokeza katika kipindi hiki kigumu.

Rugemalira awataja wezi wa Escrow
Babu Seya na mwanaye wapata shavu Wanene Entertainment