Kimenuka tena, Vigogo waliotajwa na Kamati za Bunge mikononi mwa JPM leo, Chadema waliamsha tena, Bunge lajibu, Chanzo cha ajali iliyoua wapambe 3 ubunge CUF, Manji avuliwa Udiwani CCM…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 7, 2017. Tazama video

Shirika la haki za binadamu lamnyooshea kidole Abdel Fattah al-Sissi
Magazeti ya Tanzania leo Septemba 7, 2017