Korosho yaibua balaa jipya, CCM yapangua safu kimyakimya, Bosi wa zamani wa UVCCM, Shaka ahamishiwa mkoa wa Morogoro, Watuhumiwa mauaji ya Profesa Mwaikusa waachiwa huru, Polisi yawageuzia kibao ma-Admin wa WhatsApp, Rais Magufuli aing’arisha Mtwara…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika kurasa za mbele za magazeti ya leo Novemba 19, 2018.
