Enzi za Mwalimu hakukuwa na uhitaji wa upepo wa Kisulisuli kuletea mke au mume kama Mungu alivyowaletea wana wa Israel nzige wakiwa jangwani walipozikumbuka nyama walizokula utumwani Misri.

Haikuwa rahisi kuoa au kuolewa, lakini uhitaji wake ulikuwa wa hali ya juu ni sawa na kusema ni lazima uoe au kuoelwa, kwa mwanaume ilikuwa lazima uoe au ukubali kuitwa hohehae wa masiha usie na maana hautakuwa na mji hata kama una nyumba nzuri kiasi gani.

Waliamini kuwa apatae mke amepata kitu chema.

Sikiliza makala yote hapa chini, kujua kwa nini idadi kubwa ya wanawake na wanaume waliofikisha umri wa kuoa au kuolewa  bado hawajaolewa au kuoa.

VAR yamtoa povu meneja wa Liverpool
Rashford aibeba Manchester United kwa majogoo