Lema, Nassari wabonyeza kitufe, waanika ushahidi wa video hadharani, DC Mnyeti aahidi kujibu mapigo leo, Mwinyi ataka Mawaziri wasijiuzulu, Mikoa mitano shida kuzaliwa msichana, Profesa Kitila asema Magufuli atashinda 2020 bila kampeni, Nkurunziza avutiwa na ubora bidhaa za Tanzania…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 2, 2017. Tazama video

Wanajeshi waua watu wanane kwenye maandamano ya ‘uhuru’
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 2, 2017