Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amewataka wanachama wa chama hicho kupuuza maneno ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof.  Lipumba kwamba chadema inakivuruga chama hicho kwamba siyo kweli na amepoteza mvuto katika siasa.

Tundu Lissu ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari mapema leo Septemba 9, 2016 makao makuu ya chama hicho yaliyopo jijini Dar es salaam. Lissu amesema kuwa enzi za Lipumba, CUF haijawahi kuwa na kiasi kikubwa cha wabunge tofauti na sasa ambapo Ukawa umechangia kwa kiasi kikubwa kuiiinua CUF. Tazama hapa Video

 

Video: Tundu Lissu awataka CUF kutosumbuliwa na Lipumba

 

Waziri wa Maji Gerson Lwenge Awasimamisha Kazi Mameneja 9 Kwa Tuhuma za Wizi Wa Kimtandao za Maji
Kilimanjaro Queens Yaenda Uganda