Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba amekiri kuhamishia shilingi milioni 300 kwenye akaunti binafsi kama ilivyotajwa katika ripoti ya CAG na kueleza sababu ya kufanya hivyo.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Profesa Ibrahim lipumba amesema kutokana na mgogoro wa kiungozi uliokikumba chama hicho cha siasa, kulikuwa na kila dalili za kuzuiwa kwa akaunti za chama hivyo walihamisha kiasi hicho cha fedha kuelekea katika akaunti ya mwanachama mwaminifu…,Bofya hapa kutazama.