Lissu afanyiwa upasuaji wa 15, JPM ajipanga upya, ni baada ya kuacha mawaziri wanne, kuteua wapya 14, kuongeza wizara, Binti aipa mtoto kwa kunyimwa mshahara, Siri JPM kumpa Kairuki madini, ni fupa lililoshinda wengi, Prof. Maghembe, Lwenge wang’oka Baraza jipya…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 8, 2017. Tazama video

Bafana Bafana yaichapa Burkina Faso Uganda ikitoshana nguvu na Ghana
Kichwa cha mwandishi wa habari chapatikana baharini