Lissu anyanyuka, aanza mazoezi, kutoka hospitali Nairobi wakati wowote, Watanzania wanaokamatwa China madawa wafyekwa, Madereva wafa malori ya Dangote yakivaana, Kimbunga cha Mangula chatimua vumbi CCM…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 17, 2017. Tazama video

Anthony Joshua kuzipiga na Carlos Takam
Mwandishi nguli wa habari za uchunguzi auawa