Lissu: Karibu Nyalandu, asema hatua aliyochukua kujiondoa CCM ni ya ujasiri, ataka wananchi kuchagua madiwani Ukawa, Meya mwenye siri nzito amtaka Magufuli faragha, ni baada ya kuachiwa huru kutoka Polisi, asema ana jambo la kumueleza kuhusu ufisadi, Zitto ahojiwa vituo viwili vya Polisi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 1, 2017. Tazama video

Lissu akunwa na Nyalandu, asema ni ujasiri wa hali ya juu
Taasisi kujengewa uwezo wa udhibiti wa kemikali na taka sumu