Lissu – Mwili wangu umejaa vyuma, asema bado hajawa tayari kurudi nyumbani, JPM awakuna wajasiriamali Mwili wa tajiri wa mabasi wakutwa kwenye kiroba, JPM: Walindeni wawekezaji, Kinondoni yapata vituo vya Polisi vinavyohamishika…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Machi 16, 2018.
