Lissu – nimesahau kutembea, ajiandaa kufanyiwa operesheni nyingine ya 20 wiki hii, Mabilioni yayeyuka, CAG aitwa kufanya uchunguzi akaunti ya madini 2015/16, Mfumo wa elimu walishtua Bunge, hoja ya Mkapa yaungwa mkono, Wabunge wavalia njuga ufaulu…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 1, 2018.
