Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja , Rais Magufuli akizindua ghala na mitambo ya gesi ya LPG ya Taifa Gesi Tanzania Limited, ambayo itatumika katika kusambaza gesi majumbani ili kurahisisha upatikanaju wa nishati hii na kutunza Mazingira.

Hafla hii inafanyika Jijini Dar es salaam, Baadhi ya viongozi mbalmbali wa kiserikali, wadini pamoja na wananchi wamehudhuria huku bendi ya JKT ikitumbuiza…,Bofya hapa kutazama Mubashara.

Malaysia: Shule zaidi ya 400 zafungwa baada ya wanafunzi kukosa pumzi
Video: Tuhuma za rushwa zatikisa Bungeni, Mtoto alawitiwa, awekewa udongo

Comments

comments