Lowassa alitingisha tena Bunge Dodoma, Wabunge wataka maandamano, pia washauri serikali kuunda timu ya wasomi makini kujadiliana na Barrick, Ukawa waiunga mkono Serikali, Dizeli ya wizi ya milioni 30 yakamatwa, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 17, 2017. Bofya hapa
![](https://dar24.com/wp-content/uploads/2017/06/Nuru-Dar240000-1140x640.png)