Muigizaji maarufu nchini Marekani Lupita Amondi Nyong’o amesimulia jinsi alivyonyanyapaliwa kwa weusi wake alipokuwa mdogo huku mdogo wake wa kike akiitwa mrembo kwa sababu ya weupe wake.

”kumtambua mtu kwa rangi yake kuwa mweusi sana au mweupe sana ni mwanzo wa ubaguzi wa rangi inasikitisha, hayo yanatokea katika nchi zetu ambapo wengi zaidi ni weusi”.amesema Lupita.

Nyong’o amesema kuwa dada yake mdogo, ambaye ngozi yake ilikuwa nyepesi, aliitwa “mrembo” huku kauli hizo zikimfanya ajione hastaili.

Amesema hayo katika mahojiano na BBC NewsNight,

Aidha amesema kuwa muigizaji mmoja aliyeshinda Tuzo za alizungumza hayo wakati akifanya mahojiano na BBC News day ambapo alisema kuwa ukoloni sio wa kiutawala tuu bali hata ubaguzi wa rangi.

Mfumuko wa bei wa Taifa washuka
Wananchi watishia kugomea uchaguzi wa serikali za mitaa