Leo katika kipindi cha ZAIDI tumekuletea mambo matano usiyoyafahamu kuelekea michuano ya AFCON 2019. Tanzania ni nchi mojawapo iliyofuzu kushiriki michuano hiyo ikiwa ni mara ya pili ambapo kwa mara ya kwanza ilishiriki katika michuano hiyo mwaka 1980 ikiwa ni miaka 39 iliyopita na wakati huo Tanzania ilicheza michezo mitatu na kutolewa.

Bofya hapa kufahamu mambo hayo.

;

Nguo za ndani za mtumba zapigwa msako kuondolewa
Video: LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 8, 2019