Yafahamu yaliyoshika Headlines katika magazeti ya TZ leo ambapo stori nyingi ni kuhusu bajeti kuu ya Serikali iliyosomwa Bungeni jana na waziri Mpango. Hivi hapa ni kati ya yaliyomo – “Bajeti ya JPM pasua kichwa”, Hapa kodi Tu”, “maumivu” – Magazeti

Kigoma yaongoza kwa umasikini, Serikali yataja Mikoa Mitano Maskini zaidi
Warabu Kuchezesha Young Africans Vs Mouloudia Olympique Bejaia