Katika anga la burudani kwa upande wa mpira wa miguu kuna ufundi na uhodari unaofanya mashabiki kila iitwapo leo wanazidi kuongezeka kushabikia mchezo huo kwa mapenzi ya dhati. Haya unaweza kuyaita magoli ya kiumalidadi zaidi yaaliyowahi kufungwa na wachezaji mbali mbali, tuyatazame hapa

Video: 'Full Interview' ya Ibrahimovic Manchester United
Maandamano Dhidi ya Kupinga Mauaji Kenya