Magufuli awapa kibano RPC, DC, Kikwete afunguka mazito, Membe arusha kombora ‘kubwa kuliko’, JK agonga nyundo 8, Mvua yaua watano, daraja lasombwa maji, Wahujumu uchumi wanoungama wazidi kuachiwa, CCM Moro yachoshwa Polisi kuonea raia, Mfumuko wa bei wapungua hadi asilimia 3.4, Magufuli ataka haki itendeke uchaguzi Serikali za mItaa,…Bofya hapa kutazama Habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumanne Oktoba 9. 2019.

Wenye nyumba wengi ''wao choo sio muhimu, muhimu kodi'' waonywa, adhabu kali yaja
Video: Ilala kukosa vyoo Mpoto akerwa "NI AIBU" Ataja choo cha Ikulu