Video: Majaliwa – Serikali italinda amani kwa gharama yoyote
8 years ago
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inalinda amani ya nchi kwa gharama zozote na kamwe haitaruhusu Mwanasiasa yoyote kusababisha vurugu zitakazochochea uvunjifu wa amani. Tazama video hapa