Makachero Polisi uso kwa uso na Lissu Nairobi, pia kikosi kazi kuwahoji dereva na mlinzi wake, Askofu Gwajima abomoa kanisa lake, Nyufa hosteli UDSM zazua mjadala, wataalamu TBA waeleza sababu, mwanafunzi aliyepiga picha akamatwa, Mwandishi wa Mwananchi atoweka Kibiti…, Bofya kutazama habari zaidi zilizopewa uzito katika vichwa vya habari vya magazeti ya leo Desemba 5, 2017

 

Ubinafsi ndani ya CCM umetukosesha majimbo- Kalogeresi
Chadema: Wema hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi